Mafisnago ataka mabao zaidi
1:32 AM |
Simba inacheza na Mtibwa sugar kesho jumapili na kiungo patrick mafisango amepanga kuendeleza makali yake ya kutikisa nyavu kwenye mechi zilizo salia za Ligi kuu Tanzania bara.Mafisango ambaye raia wa rwanda amefunga mabao matatu katika mechi mbili zilizopita mawili katika mechi dhidi ya kagera sugar na kufunga bao la pekee la simba dhidi ya polisi jumatatu iliyopita kwa shuti la umbali wa meta 40 na linahesabiwa kati yamabao bora ya ligi kuu msimu huu . kipindi hiki tunatakiwa kujitoa na kuhisaidia klabu itambue umuhimu wako sitaki mchezo nataka kufanya kazi tu alisema mafisango.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment