MAFISANGO AFUNIKA MBAYA

PATRICK  Mafisango alipiga pasi 42 wakati akiisaidia simba kuifunga kagera mabao 3-1 kwenye mchezo wa ligi kuu tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa taifa jumatano iliyopita. mnyaruwanda huyo aliyekuwa nyota wa mchezo katika pasi 42 alizopiga 29 ziliwafikia walengwa wakati 13 zilikwenda fyongo.Mafisango alifungia simba mabao mawili katika dakika ya 16 kwa shuti la mbali wa meta 35 na lile la pili kwa mkwaju wa penalti huku okwi akifunga la tatu dakika za nyongeza .Okwi amefikisha mabao 10 kwenye ligi kuu bara sawa na kenneth asamoah wa yanga wakati mafisango amefikisha mabao sita

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.