Mshambuliaji wa simba mzambia felix sunzu ameingia kwenye chati ya wafungaji bora kwenye michuano ya kombe la shilikisho Africa .simba inasubili kuvaana na ES setiff ya algeria wiki ijayo jijini dar es salaam na kuludiana ugenini mwanzoni mwa mwezi ujao .Lakini katika orodha inayoonyesha mechi za hatua ya mtoanao ,sunzu ni miongoni mwa wafungaji saba wa naongoza .sunzu anabanana na wachezaji watano wenye mabao mawili kama yeye ambao ni losseni komara anaye chezea leopard ,thabo mongala wa black leopard ya africa kusini ,rodwell chinyengetele ,na ocean mpofu wote wa hwange zimbwambwe. wenye mabao manne kwenye michuano hiyo wakishikilia nafasi mbili za juu ni abdul Razak fiston wa LLB Academy ya burundi pamoja na adene Girman wa st george ya ethiopia. Sunzu alipachika mbao yake jijini dar es salaaam katika mechi dhidi ya kiyovu ya ruwanda simba ilishinda mabao 3-1 bao jingine lilifungwa na emmanuel okwi katika ligi ya mabigwa A FRICA ambako yanaga ilitolewa kuna msimamo wa wafungaji 13 wenye mabao matatu na wengine wawili ambako katika hao hakuna yeyeote kutoka africa masahariki

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.