FAMILIA YA MUAMBA YA TOA MAMUZI


KOCHA MKUU WA BOLTON HAKUTAKA KUTOA MAMUZI KWENYE MCHEZO WAKE DHIDI YA BLACKBURN AMBAO UNATARAJIWA KUCHEZEKA WIKIENDI HII.KOCHA HUYO ALIKUWA ANATAKA KUSIKIA SAUTI YA FAMILIA YA MUAMBA KUHUSIANA NA MCHEZO WA WIKIENDI HII KAMA HUCHEZEKE AU LA.NA FAMILIA YA MUAMBA IMESEMA KUWA MECHI HIYO ICHEZEKE NA ILE YA TOTTENHAM KKWENYE ROBO FAINALI YA KOMBE LA FA

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.