DAKTARI WA BOLTON JONATHAN TOBIN ALIZUNGUMZA NA FABRICE MUAMBA KUHUSIANA NA AFYA YAKE.DAKTARI HUYO ALIKUWA NI MTU WAKWENDA KUMJULIA HALI KIUNGO HUYO NA MPAKA KUFIKIA JUMANNE JIONI DAKTARI ALIPOTI KUWA HALI YA KIUNGO HUYO INAZIDI KUWA SAFI .NAMPAKA LEO DAKTARI HUYO ALIKWENDA KUMTEMBELEA MUAMBA.DAKTARI HUYO ANASEMA KUWA HALI YA KIUNGO HUYO INAZIDI KUWA NZURI
DAKTARI WA BOLTON AZUNGUMZA NA MUAMBA KUHUSU HALI YAKE SASA
7:28 AM |
DAKTARI WA BOLTON JONATHAN TOBIN ALIZUNGUMZA NA FABRICE MUAMBA KUHUSIANA NA AFYA YAKE.DAKTARI HUYO ALIKUWA NI MTU WAKWENDA KUMJULIA HALI KIUNGO HUYO NA MPAKA KUFIKIA JUMANNE JIONI DAKTARI ALIPOTI KUWA HALI YA KIUNGO HUYO INAZIDI KUWA SAFI .NAMPAKA LEO DAKTARI HUYO ALIKWENDA KUMTEMBELEA MUAMBA.DAKTARI HUYO ANASEMA KUWA HALI YA KIUNGO HUYO INAZIDI KUWA NZURI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment