KLABU YA CHELSEA IPOTAYARI KUTOA KITITA KIKUBWA CHA EDHA KWA AJILI YA KUMCHUKUWA WINGA WA REALMADRID ANGEL DIMARIA CHELSEA KUPITIA KWA MFADHILI WAKE ROMAN MOVIC AMESIBITISHA KUMNUNUWA WINGA HUYO WA ARGENTINA NAE DI MARIA AMBAYE KWA SASA ANALIPWA KIASI CHA EURO 70000 KATIKA KLABU YAKE YA MADRID NA YEYE MWENYE AMESEMA ANATAKA KULIPWA KIASI CHA EURO 80000 KAMA MADRID WAKISHINDWA KUMPA KIASI HICHO BASI ANAWEZA AKAONDOKA MADRID NA KUELEKEA CHELSEA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment