BEKI WA SIMBA AONDOLEWA SIMBA
5:31 AM |
BEKI MKONGWE WA SIMBA VICTOR COSTA NYUMBA AMELAZIMIKA KUWEKWA KANDO NA TIMU HIYO KUTOKANA NA KUSUMBULIWA NA MACHO DAKTARI WA SIMBA COSMAS KAPINGA AMESEMA BEKI HUYO AMEPATA MARADHI HAYO AKIWA NJE YA KAMBI YA TIMU HIYO AMBAPO MARA BAADA YA KUELEZA UONGOZI KUTOKANA NA MARADHI HAYO WALILAZIMIKA KUMZUIYA KUJIUNGA NA WENZAKE DAKTARI WA SIMBA AMECHUKUWA MAMUZI HAYO KUTOKANA NA UGONJWA ALIO NAO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment