12:42 AM |
Siku ya jana ilikuwa siku ya furaha kwa barcelona hasa kwa xavi na messi jana barcelona walicheza na sevilla kwenye muendelezo wa ligi kuu ya hispania barca ili shinda bao 2-0 huku xavi akitupia moja na messi akitupia la pili
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment