MWANAFUNZI ALIYE MTOLEA MANENO YA KIBAGUZI MCHEZAJI WA BOLTON AWEKWA JELA
11:03 AM |
MWANAFUNZI ALIYE MTOLEA MANENO YA KIBAGUZI MCHEZAJI WA BOLTON FABRICE MUAMBA AWEKWA JELA SIKU 56 MWANAFUNZI HUYO MWANAFUNZI HUYO MWENYE MIAKA 21 ALIMTOLEA MCHEZAJI HUYO MANENO YA KIBAGUZI WAKATI MCHEZAJI HUYO YUPO KATIKA WAKATI MGUMU WA KUPIGANIA UHAI WAKE .MWANAFUNZI HUYO ALIANDIKA YAKWAMBA ( HAHA MUAMBA HE IS DEAD) KWAMBA MUAMBA AMEKUFA MESEJI HIYO YA MWANAFUNZI HUYO ALIITUMA KATIKA MTANDAO WA TWITTER NA BAADHI YA ATU AMBAO WALIO IPATA MESEJI HIYO WALIWATUMIA POLISI NA WATU HAO WALIO WAJULISHA POLISI NI AMBAO WALIOKUWA WANATUMIA MTANDAO WAKIJAMII WA TWITTER
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment