LIVER yamvisha silaha gerrard
2:36 AM |
LIVERPOOL itasubili mashambulizi makali kutoka kwa steven gerrard katika mpango wa kusaka ubigwa wa FA.Timu hiyo itakutana na stoke city katika mechi ya robo fainali ya kombe la FA kwenye uwanja wa Anfield kesho jumapili. Gerrard alifunga mabao matatu wakati timu yake ilipopata ushindi mnono dhidi ya everton katikati ya wiki hii na kocha wake anaamini kasi aliyonayo mchezaji huyo itaonekana kwenye mechi ya robo fainali. Liverpool ambayo tayari imepata kombe la ligi inasaka kombe jingine baada ya matumaini yao yakusaka nafasi ya nne katika ligi kuu kufifia mkongwe wa Liverpool jamie carragher alisema kiwango cha gerrard alicho kionesha kwenye mechi dhidi ya everton kinalidhisha katika mechi nyingine ya robo fainali chelsea itakwaana na leicester.nayo everton itacheza na sunderland huku Tottenham ikipambana na Bolton leo jumamosi .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment