HALI YA MUAMABA SASA YAZIDI KUWA POA


HALI YA KIUNGO WA BOLTON YAZIDI KUIMALIKA SIKU HADI SIKU.SIKU YA JUMATATU YA JANA KIUNGO HUYO ALIKUWA ANAWEZA KUMTAMBUWA NANI AMBAYE ANAFIKA HAPO HOSPITALINI NA NANI AMBAYE ANATOKA HAPO.HABARI NJEMA KUTOKA HOSPITALINI ZINASEMA KUWA KIUNGO HUYO YUPO CHINI YA JOPO LA MADAKTARI BIGWA KWA AJILI YA KUMUONGOZA KIUNGO HUYO.NA MPAKA KUFIKIA SAA 4 ASUBUHI LEO HALI YAKE INAKUWA VIZURI ILA FAMILIA YA MUAMABA YA SEMA WACHEZAJI WA VILABU VYA ENGLAND NA WALE SIO WA ENGLAND WAMEKATAZWA KUFIKA HOSPITALINI HAPO.ILA KWA WACHEZAJI NA VIONGOZI WA BOLTON NDIO WATAKAO RUHUSIWA KUFIKA KATIKA MDA HUSIKA

  • Digg
  • Del.icio.us
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • RSS

0 comments:

Post a Comment

Designed by Mustapha E.Hanya +255 732 575 718.