DEMU WA BALOTELLI AKUFURU
3:36 AM |
DEMU wa mshambuliaji nyota wa man city mario balotteli alifanya kufuru ya ununzi wa uwanja wa timu ya Ettihad.kampuni ya Harvey Nicholas imefunguwa tawi la duka lake katika uwanja wa klabu hiyo Mwanamitindo Raffaella Ficco 23 ambaye ni mpenzi wa Balloteli alifanya ununuzi ya bei mbaya ya vitu kama vidani mabegi na viatu. Duka hilo pia linadaiwa kuvamiwa na wake na wachumba wa wachezaji wewngine wa timu hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment