MANCINE: TEVEZ NDIYO CHAGUO LANGU HIVI SASA
5:00 AM |
KOCHA MKUU WA MAN CITY ASEMA KUWA TEVEZ NDIYO FOWARD WAKE BORA KULIKO WOTE MAN CITY TEVEZ ALIKOROFISHANA NA KOCHA WAKE HUYO NA KUPATANA TENA. MANCINE ASEMA KUWA TEVEZ ALISAIDIA TIMU YAKE KUSHINDA KWENYE MCHEZO WAKE DHIDI YA NORWICH.GOLIKIPA WA MAN CITY ASEMA KUWA MUARGENTINA HUYO NDIYE WANAMTEGEMEA KWENYE SAFU YA USHAMBULIAJI AKISAIDIANA NA KUN AGUERO ( CHIPPA ) NA DAVID SILVA TEVEZ ALIFUNGA MAGOLI MATATU KWENYE MECHI DHIDI YA NORWICH NA KUMFANYA KOCHA WA MAN CITY KUMKUBALI. KOCHA HUYO ASEMA KUWA TEVEZ ATAKUWA KWENYE KIKOSI CHA KWANZA JUMAMOSI HII.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment