FERGASON AMUONYA ASHLEY YOUNG KWA KUJIANGUSHA
4:43 AM |
KOCHA WA MANCHESTER UNITED SIR ALEX FERGASON AMUONYA WINGA WAKE ASHLEY YOUNG KWA KUJIANGUSHA.MCHEZAJI HUYO ALIJIANGUSHA KWENYE MECHI DHIDI YA Q P R NA KUIZAWADIA TIMU YAKE PENATI. KOCHA WA MAN UNITED FERGASON AMEZUNGUMZA NA MCHEZAJI HUYO NA KUMWAMBIA ASILUDIE TABIA YA KUJIANGUSHA NI KITENDO SIO KIZURI KATIKA MCHEZO WA SOKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment